Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Habar za kwenu Ndugu zangu kuna jambo naomba kujuzwa eti si kosa kwa mapacha wanaofanana kutumia lesen moja ya gari. Cheti cha shule iwapo mmoja alifeli mmoja akaendelea bas wanapasiana vyeti...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mtu amesimamishwa kazi, akapewa charge sheet, akaenda inquiry committee Na wakadeclare hana kosa lolote, inquiry committee ikapeleka inquiry yake displinary committee nayo ikamwona mtuhumiwa hana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni mda mrefu kidogo tangu hoja mbalimbali zilianza kutolewa na watu hususani wanaharakati wa haki za binaadam(human and peoples rights activists) na wanasheria mbalimbali(lawyers social group)...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
habari zenu wanajukwaa... Natumain nyote mu bukheri wa afya na kwa wasio vyema basi mungu awainue kiafya.. kuna mtu aliweka poni kiwanja chake kwa bei ya shiringi elfu thelathini hivi na hiyo...
0 Reactions
0 Replies
888 Views
Juzi nilikuwa maeneo ya selander bridge naelekea upanga. Kwa bahati mbaya kwenye mataaa taa ya njano ikanikuta nipo mbele ya zebra nikasita kuendelea maana nikajua nyekundu itanikuta mbele tu na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salaam wana JF. Nianze kwa kukushukuru kwa mchango wako. Asante sana! Kuna watu wanaendesha mradi Fulani Wa wakulima hapa Mwanza. Ni mradi unaodhaminiwa na watu Fulani kutoka US. Sasa mwishoni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi kuelezea tusi ambalo mtu alilitoa kwa adui yake ni kosa? Nisaidien majibu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tafadhali mwenye kufahamu nawezaje kupata Tanzania Law Reports soft copy of these materials anisaidie
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Miezi michache ilopita kuna jamaa mmoja alikuwa anatuhadithia kuwa alikuwa Coco Beach na "kiburudisho " chake, baadaye wakajisikia " wadudu wananyenvua nyenvua", wakaamua kumalizana katika gari...
0 Reactions
20 Replies
9K Views
Habari. Napenda kujua, Sheria ya Kazi inataka mfanyakazi afanye kazi saa ngapi kwa siku? Wafanyakazi wa CRDB Bank hasa Tawi la Premie huwa manatakiwa saa 1:30 asubuhi wawe wako ofisini...
0 Reactions
9 Replies
10K Views
Wakuu poleni kwa majukumu. Naomba ushauri wenu wa kisheria juu ya jambo hili. Nulinunua nyumba iliyouzwa kwa mnada kupitia kwa dalali alieteuliwa na Benk fulani iliyoko jijini Dar es Salaam...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwezi wa 11 mwaka jana kijana wangu wa kazi ambaye alidumu kwa siku 6 tu, alivunja ndani kwangu na kuiba vitu vya thamani karibu Tzs mil 30. Lap top, simu za mikononi ambazo nilikua situmii, vitu...
0 Reactions
29 Replies
9K Views
Nimesikia kwamba mwanaume na mwanamke wakiishi pamoja kwenye nyumba moja kwa zaidi ya miezi sita kisheria automatically wanakua mke na mume hii kwa sheria za Tanzania ipo?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari nyote. Msimamizi wa mirathi moja iliopitishwa mahakamani tayari hapa Tanzania, kamgawia mwanae nyumba ambayo ni mali ya marehemu. Msimamizi huyu ni mdogo wa kuzaliwa tumbo moja na marehemu...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari ndugu wana Jf?. Naomba msaada wa kisheria kwa urithi wa watoto kwa baba aliefariki akiwa na watoto4 pamoja na mkewe!. Akaacha wosia kwamba watoto wawil kati ya hao hawatamrithi...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
SHAHIDI upande wa mashtaka Koplo Waziri, amewasilisha muamala wa M-Pesa kama ushahidi mahakamani. Ushahidi huo unawasilishwa katika kesi ya kula njama na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
naomba msaada kuna muwekeza anataka kuingia ubia ameniandikia hivi sasa nifanyaje would like to have separate partnership agreements with each of them (need to work with lawyer there) to form...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni baada ya muda gani mlalamikaji au mlalamikiwa anastahili kukata rufaa baada ya maamuzi ya mahakama
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau nina ndugu yangu ambaye amefiwa na mkewe baada ya miaka minne ya ndoa yao ya kikristo.wote walikuwa ni wafanyakazi wa serikali kabla na baada ya kuoana.walipooana ndugu huyu alikuta marehemu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nikiwa barabarani nakokota pikipiki nikielekea kwa fundi, gafla akatokea jamaa kavaa kilaia, na kuniomba anikague, nikamruhusu, akabaini bima imeisha na element haikuwepo, nikaahilisha kwenda kwa...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Back
Top Bottom