kALEnga kidamali
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 542
- 735
habari zenu wanajukwaa... Natumain nyote mu bukheri wa afya na kwa wasio vyema basi mungu awainue kiafya..
kuna mtu aliweka poni kiwanja chake kwa bei ya shiringi elfu thelathini hivi na hiyo ilisababishwa na tatizo alilokuwa nalo mhusika.... Lakin kutokana na ukata ikamlazimu amwambie amuogezee kama shilingi elfu thelathini nyingine ili amalize tatizo lake lakin baada ya tatizo kwisha mhusika alishindwa kuzirudisha hizo pesa kwa kipindi hicho miaka ya 2009.....
Lakini sasa yule aliyechukua kiwanja ambacho kina ukubwa wa ekali kama saba hivi akasema wauziane kwa bei hiyo hiyo kwa maana ya tshs 60,000/=
Sasa kuna ndugu kajitokeza anataka kukirudisha kiwanja kwa kuirudisha hiyo pesa lakini yule aliyechukua kiwanja amejimilikisha kiasi ambacho kuna kuwa na ugumu namna ya kuanza kumueleza ili arudishe kiwanja...
Wataalam wa sheria naomba msaada wenu juu ya hili kwani hofu yangu ni yule jamaa kama akitaja gharama kubwa zaidi ya hiyo 60,000 itakuwa ni haki yake...
Na je kama kuna fidia kwa hiyo pesa yake inatakiwa na iwe kiasi gani?
Inasemekana waliandikishana kuwa amekinunua kiwanja kwa bei hiyo... Je nini athari za maandikishano hayo ili kiwanja kirudi kwa mwenyewe?
MSAADA WENU TAFADHALI KWENU WABOBEVU KWENYE HAYA MASUALA YA KISHERIA ZA ARIDHI........