Msaada: Kurudishwa kazini baada ya kusimamishwa

kigongoi

JF-Expert Member
Apr 21, 2015
430
192
Mtu amesimamishwa kazi, akapewa charge sheet, akaenda inquiry committee Na wakadeclare hana kosa lolote, inquiry committee ikapeleka inquiry yake displinary committee nayo ikamwona mtuhumiwa hana kosa, CEO akaandika barua kuwa mtu huyo arudishwe kazini.

Branch manager akakaa na barua bila kumpa huyo msimamishwa kazi.
Je ni sheria ipi inampa haki msimamishwa kazi huyo?

Naombeni msaada
 
Back
Top Bottom