Man and Woman living together for more than six months

mambucha

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
279
160
Nimesikia kwamba mwanaume na mwanamke wakiishi pamoja kwenye nyumba moja kwa zaidi ya miezi sita kisheria automatically wanakua mke na mume hii kwa sheria za Tanzania ipo?
 
Si kweli,na kwanin uamini maneno ya kusikia,daima kisheria maneno ya kusikia kwa mtu mwingine hayazingatiwi(heresay is not admissible under the law).Rejea sheria ya Ndoa Sura Ya 29 iliofanyiwa marekebisho 2010,kifungu cha 160(1) inasema mwanamke na mwanaume walioshi miaka 2 na jamii iwe inatambua kuwa wanaishi kama mme na mke na wawe hawajafunga ndoa rasmi.Rejea pia kesi ya JOHN KIRAKWE VS IDD SIKO 1989
 
Well said Mkuu.
 
Asante
Well said Mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom