mwasamasole Senior Member Oct 25, 2015 106 119 Apr 16, 2016 #1 Hivi kuelezea tusi ambalo mtu alilitoa kwa adui yake ni kosa? Nisaidien majibu
S sallutee Member Nov 1, 2010 38 49 Apr 16, 2016 #2 Neno nanukuu hutumika kisha ukimaliza kusema maneno au maandishi ya MTU mwingine unasema mwisho wa kunukuu.
Neno nanukuu hutumika kisha ukimaliza kusema maneno au maandishi ya MTU mwingine unasema mwisho wa kunukuu.