hibiscus interior
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,168
- 595
Habar za kwenu Ndugu zangu kuna jambo naomba kujuzwa eti si kosa kwa mapacha wanaofanana kutumia lesen moja ya gari.
Cheti cha shule iwapo mmoja alifeli mmoja akaendelea bas wanapasiana vyeti kusonga mbele. Naomba kujua kama ni kosa kisheria na nini adhabu yake.