Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Habari wakuu, Kama kichwa kinavyojieleza mwanangu yuko kidato cha kwanza sasa. Nilihisi ana mahusiano na jamaa mmoja mfanyakazi wa umma na nilifanya mawasiliano na mwalimu wa malezi ili amuulize...
1 Reactions
47 Replies
7K Views
Wakuu Salamaa? Naombeni muongozo wa kisheria juu ya jambo lifuatalo; Kunashamba ambalo mmiliki anashida na anahitaji kuniuzia ila shamba lenyewe kuna mtu analima (kawekewa rehani mpaka afanye...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Sabakher Wanasheria; Naomba Mnisaidie! Ikitokea Wazaz Wa Mama Yangu {babu na bibi Yangu} Wakafariki! Na Wakati Wa Ufuatiliaji Wa Mirathi Mama Yangu Nae Akafa! Je Katika Ule Mgao Wa Mama Kama Mtoto...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nilifiwa na mzazi wangu ambae alikuwa mtumishi nikiwa mdogo sana.Mpaka leo yapata miaka 18. Nimejaribu kufuatilia mirathi katika halmashauri husika nakaambiwa hakuwa anachangia mfuko wowote ,hivyo...
0 Reactions
2 Replies
898 Views
Kuna shida kwenye nguzo inayoingiza umeme kwangu. nilienda kutoa taarifa tar 2/4/2016 hadi leo hawajaja! nimerudia kutoa taarifa jana na leo. lakini hadi sasa hawajaja! hapa kwangu nina mashine ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu nawasalimu... Ama baada ya salamu naomba msaada wa kisheria kuhusu hili. Mimi ni msimamizi wa mirathi na taratibu zote zilifatwa mpaka nikateuliwa kuwa mrithi.Tatizo ni kwamba nyumba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hbr zenu wana jf, imetokea mlalamikaji amewaomba mashahidi waliohudhuria tukio wakatoe ushahidi mahakamani wakakataa, mlalamikaji inatakiwa afanye kipi ili kupata haki yake
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wakuu habari zenyu.. Wakati fulani nikiwa ndio nakua kwenye miaka ya 90s hivi kulikua na kesi moja nilikua naisikia kwenye vyombo vya habari ilikua inamhusu mzungu mmoja ( kama sijakosea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamvi! Namtafuta mwanasheria mwenye uwezo wa kuandika patent kwa ajili ya huduma / bidhaa bunifu. Tuwasiliane. .. kwa PM
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale ndugu zangu wanaosoma sheria, Kuna Kitabu cha Mzee Samatta Kinaitwa Rule of Law VS Rulers of Law. Ukipata pesa jitahidi ukitafute; kimekusanya kesi nyingi alizozihukumu. Na kama ukisoma...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Abari zenu wadau, nimepatwa na mtihani baada yaku mzamini rafikiangu fulani bank, ili aweze kupewa mkopo. sasa baada alipo pewa huo mkopo wa milioni 4, amerejesha rejesho 4tu, akaingia mitini...
0 Reactions
2 Replies
677 Views
Mkataba wangu Mimi unaishia mwezi wa 7, Leo ni mwezi wa 4, mwenye nyumba, nyumba tunayoishi kaiuza, hajatuambia official tunasikia na mafundi wake tuu. Sasa anataka atuhamishie nyumba ingine...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
RC Makonda have to think twice before making some of his statement out of emotions. I have heard that Regional Commissioner of Dar es Salaam have officially banned religious leaders and their...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna jamaa yangu alikamatwa kwa kesi ya kuhisiwa kavunja kaunta ya Bar ,baada ya kumkamata wakampiga na kumpeleka kituo cha polisi, wakachukuliwa Maelezo na mtuhumiwa kawekwa ndani kwa siku...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nahitaji mwanasheria Mwenye kujua mambo ya CMA. Location: Mbeya mjini (lazima awe anapatikana Mbeya mjini). Contact: Naomba ani PM Asante.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, nimetakiwa kumsimamia mama mjane juu ya haki zake. Mama huyu aliolewa mwaka 1997 huko Mpanda na mume aliyekuwa na watoto wanne wakubwa. Baada ya mwaka mmoja mume aliyekuwa mfanyakazi...
6 Reactions
40 Replies
8K Views
Nahitaji copy original 50 mpaka 100 za katiba ya Tanzania ya mwaka 1977 lugha ya kiingereza, ni pm bei. Nipo Dar.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani ndugu zangu wataalamu wa sheria kuna mtu nilimkopesha milioni moja na tukaandikiana kuwa baada ya miezi 2 atatudisha milioni moja na laki tatu saivi ni miez minne mnisaidie nifanyeje...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Msaada wa kisheria kuna kesi ya ubakaji kwa mtoto wa miaka 7 amebakwa na vijana wenzie wa umri sawa na wake wazazi wake wamekataa kuelewana na wazazi wa watuhumiwa wanaomba waende mahakamani je...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Msaada wa Kifungu cha sheria kinachohusiana na uhamisho wa mke kumfuata mume naomba aniambie
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom