Msaada wa Kisheria

Aika Mndumii

Senior Member
Jan 19, 2013
164
47
Wakuu poleni kwa majukumu.

Naomba ushauri wenu wa kisheria juu ya jambo hili.

Nulinunua nyumba iliyouzwa kwa mnada kupitia kwa dalali alieteuliwa na Benk fulani iliyoko jijini Dar es Salaam. Nyumba hiyo iliuzwa na benk kwa kuwa mwenye nayo alishindwa kulipa deni la benk. Baada ya mauzo ndani ya kipindi cha kama wiki moja kabla sijaingia kwenye nyumba hiyo, mwenye nyumba alifungua shauri mahakamani akidai kwamba Benk hawakufuata sheria wakati wakiuza nyumba hiyo kwa mnada. Hivyo kesi ilianza kusikilizwa katika mahakama ya ardhi. Katika kesi hiyo respondent wa kwanza ni benk, wa pili alikuwa dalali na wa tatu ni mimi. Kutokana na kesi iliyofunguliwa mahakamani, wakili wa benk husika ndiyo alikuwa anatuwakilisha mahakamani, na nilienda mahakamani kutoa maelezo yangu.

Kutokana na shauri hilo lililofunguliwa mahakamani, sikuweza kuingia tena kwenye nyumba hiyo. Ingawa wakati shauri linaendelea benk walibadilisha hati ya nyumba na kunipatia hati iliyoko kwa jina langu. Lakini hata hivyo kutokana na shauri kuwa mahakamani sikuweza kuingia kwenye nyumba hiyo.

Shauri lilisikilizwa kwa muda mrefu kama mnavyojua mahakama zetu za Kibongo na likatolewa hukumu baada ya zaidi ya miaka nane. Katika hukumu hiyo benki wameshindwa na mahakama ikasema mauzo hayakuwa halali (yalikuwa batili). Nimejaribu kwenda benk kuuliza kuhusu hili swala lakini benk wananiambia kwamba mimi ndiyo mmiliki wa nyumba kwa sababu hati iko kwa jina langu. je kesheria kwa sababu nina hati ya nyumba ninaweza kumtoa mwenye nyumba kwa nguvu hata kama hukumu ilibatilisha mauzo ya awali yaliyofanywa na benk?

Asante
 
mkuu pole sana kwa magumu uliyoyapitia kwa kipindi chote hicho. eight years hauna kauli juu ya nyumba yako. pole sana ndugu yangu.
 
Pole ndugu tafuta mwanasheria asie na TAMAA atakusaidia lkn ukisubiri ushauri wa hapa utachemka...sababu ktk Forum....zinazopotezewa ni hii ya Sheria
 
Wakuu poleni kwa majukumu.

Naomba ushauri wenu wa kisheria juu ya jambo hili.

Nulinunua nyumba iliyouzwa kwa mnada kupitia kwa dalali alieteuliwa na Benk fulani iliyoko jijini Dar es Salaam. Nyumba hiyo iliuzwa na benk kwa kuwa mwenye nayo alishindwa kulipa deni la benk. Baada ya mauzo ndani ya kipindi cha kama wiki moja kabla sijaingia kwenye nyumba hiyo, mwenye nyumba alifungua shauri mahakamani akidai kwamba Benk hawakufuata sheria wakati wakiuza nyumba hiyo kwa mnada. Hivyo kesi ilianza kusikilizwa katika mahakama ya ardhi. Katika kesi hiyo respondent wa kwanza ni benk, wa pili alikuwa dalali na wa tatu ni mimi. Kutokana na kesi iliyofunguliwa mahakamani, wakili wa benk husika ndiyo alikuwa anatuwakilisha mahakamani, na nilienda mahakamani kutoa maelezo yangu.

Kutokana na shauri hilo lililofunguliwa mahakamani, sikuweza kuingia tena kwenye nyumba hiyo. Ingawa wakati shauri linaendelea benk walibadilisha hati ya nyumba na kunipatia hati iliyoko kwa jina langu. Lakini hata hivyo kutokana na shauri kuwa mahakamani sikuweza kuingia kwenye nyumba hiyo.

Shauri lilisikilizwa kwa muda mrefu kama mnavyojua mahakama zetu za Kibongo na likatolewa hukumu baada ya zaidi ya miaka nane. Katika hukumu hiyo benki wameshindwa na mahakama ikasema mauzo hayakuwa halali (yalikuwa batili). Nimejaribu kwenda benk kuuliza kuhusu hili swala lakini benk wananiambia kwamba mimi ndiyo mmiliki wa nyumba kwa sababu hati iko kwa jina langu. je kesheria kwa sababu nina hati ya nyumba ninaweza kumtoa mwenye nyumba kwa nguvu hata kama hukumu ilibatilisha mauzo ya awali yaliyofanywa na benk?

Asante

Ningekuwa wewe ningewafungulia mashitaka benki wanirudishie hela yangu tena kwa current price na siyo ya ile miaka 8 iliyopita.

Hivyo mahakama watatoa ufafanuzi wa nani mmiliki halali wa hiyo nyumba.
 
Back
Top Bottom