Kufanya Mapenzi kwenye gari, Sheria inasemaje?

Iramusm

JF-Expert Member
Nov 16, 2009
509
314
Miezi michache ilopita kuna jamaa mmoja alikuwa anatuhadithia kuwa alikuwa Coco Beach na "kiburudisho " chake, baadaye wakajisikia " wadudu wananyenvua nyenvua", wakaamua kumalizana katika gari; ilikuwa usiku..wakati wanaendelea wakatokea polisi..wakaanza kugonga dirisha kwa nguvu..jamaa akaona msala akawasha gari na kutoka mbio..lakini polisi wakaanza kumkimbiza umbali mrefu tu ingawa baadaye alifanikiwa kuwaacha.

Jana sasa kitu kama hicho kimenitokesa mwenyewe maeneo ya Kitunda, jamaa mmoja akagonga sana gari, baadae nkaamua kuondoa jamaa akanifukuzia umbali mrefu sana...Sasa najiuliza, hivi je sheria za nchi yetu zinasemaje kuhusu hili? Ruksa au sio ruksa?
 
Acha uzinzi!
 
hata paka ana adabu kuliko wewe, kwani ulishindwa kusubiri ukafanyia sehemu ya faragha???? hayo ni maadili tu sidhani kama sheria ya SOSPA au ya Ndoa inasema lolote kuhusu hili manake hata watunga sheria hawategemei kuwe na upuuzi kama huu.sijui kama Penal Code(kanuni za adhabu inasema lolote labda kwa walio mwaka wa kwanza sheria vyuoni wanaosoma law watujuze.Zingatia maadili acha tamaa.
 
Sheria iko kimya kuhusu hili kosa ni kufanya Mapenzi hadharani iko chini ya Kanuni za Adhabu. Hadharani kisheria halijafafanuliwa sahihi so wakikukamata wanaweza wakakubambikia kosa la kufanya mapenzi ukiendesha gari hilo ni kosa ndani ya sheria za usalama barabarani. Kumbuka pia Si kosa kisheria kuendesha gari ukiongea na simu maana halijazuiwa bado kisheria ila polisi wamehalalisha. Next time wakikushika nitafute
 
Hivi ni lazima kila kitu kiongozwe na sheria? vingine ni utashi tu, kama unaweza kufanya hivyo basi either wewe au huyo mwenzio anaweza ku.... hata barabarani na mtu yoyote! si hamna staha? usishangae pia siku ukakuta mbwa kalala kitandani na mrembo wake wanaendelea!
 
Ni lewd conduct ? lol

Mimi imenitokea pale The Green , Oysterbay, nilikua na precious mlupo wangu , tuka amua kufanya advanture moja matata, nikaparki gari pale usiku halafu tukatoka nje ya gari tukiwa watupu then tukaanza ku nani hii no, bila kujua kumbe kuna police, nikastukai police anatuvizia, , tukadhani vibaka, tukakurupuka ku ingia ndani ya gari haraka, kupiga start gari ikagoma,tukawa hatuna jinsi tukakamatwa , kibaya zaidi kumbe huyo police ni police fake kavaa nguo za kipolice, aka chukau laki mbili na kutokomea alikokujua.
 
huna geto,paki gari lako nyumbani alafu fanya hayo madudu uone nani atakufuata,kama halali kwa nini ulikimbia,,,,,,,,,,,acha ni upuuzi huo
 
Ni lewd conduct ? lol

Mimi imenitokea pale The Green , Oysterbay, nilikua na precious mlupo wangu , tuka amua kufanya advanture moja matata, nikaparki gari pale usiku halafu tukatoka nje ya gari tukiwa watupu then tukaanza ku nani hii no, bila kujua kumbe kuna police, nikastukai police anatuvizia, , tukadhani vibaka, tukakurupuka ku ingia ndani ya gari haraka, kupiga start gari ikagoma,tukawa hatuna jinsi tukakamatwa , kibaya zaidi kumbe huyo police ni police fake kavaa nguo za kipolice, aka chukau laki mbili na kutokomea alikokujua.

1. Mshahara wa dhambi ni mauti!
2. Wajinga ndio waliwao!
 
1. Mshahara wa dhambi ni mauti!
2. Wajinga ndio waliwao!
Nakubaliana na wewe kabisa hapo. Nimejitahidi sijarudia tena , ila nimesha do kwenye treni , ilikua Orange line toka
McPherson Sq to Rosslyn in DC. heheheheheh ,kulikua saa sita usiku treni ya mwisho , hakuna watu kwnye treni na i wonder zile ccTV kwenye treni sijui inakuaje.
 
...Sasa najiuliza, hivi je sheria za nchi yetu zinasemaje kuhusu hili? Ruksa au sio ruksa?

Kwani sheria zinasemaje ukifanya na mkeo mbele ya watoto wako?

Kabla ya kuuliza sheria jiulize kama kibinadamu ni busara na hekima na maadili. Sheria isiwe excuse ya irresponsibilities.

In short ni upuuzi inaonyesha ni mtu anayeshindwa kuji control
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom