MTV MBONGO
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,261
- 1,222
kutoa mimba ni uuaji wa kikatili kwa kiumbe kisicho na hatia tena kisichoweza kujitetea. visa vya utoaji mimba yaani uuaji wa watoto ambao hawajazaliwa ni vingi. sijui kwanini wanaotoa mimba, madaktari, wauguzi na wote wanaoshiriki hawapelekwi mahakamani.