elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,732
Kuna kijana flani alikuwa anafanya kiwanda cha wachina cha kutengeneza magunia.
Amekuwa mfanyakazi wa hicho kiwanda kwa muda wa miaka minne na miezi tisa lakini kama walivyo wachina, hakuwa na mkataba wa kazi.
Mwaka jana mwezi wa 11, akiwa anarekebisha mashini ameingiza mguu kwenye mashine akatokea mfanyakazi mwenzake akawasha ile mashine ikamkata na kuutoa mguu wa kulia.
Wachina waligharamia matibabu na mguu mpya ila alipopona wakasema wanampa fidia ya mils 5.
Katika kuhangaika akapata mwanasheria aliyedai kuwa achukue ile milion 5 ila pia akawashitaki kwa kulipwa kiasi kidogo.
Siku ya kulipwa akaenda na huyo mwanasheria akapewa mkataba asaini akampa mwanasheria, meanasheria wake ambaye ni fresh graduate akausoma akamwambia saini tu.
Akapewa mils 5, mwanasheria akamwambia atafte report ya hospital muhimbili ambapo alienda na akapewa.
Lakini baadae wakili akamwambia kuwa eti haitowezekana kwakuwa sheria inayotumika ni ya mwaka 1968 na ela aliyolipwa ni nyingi wangezingatia sheria angelipwa laki nane tu, pia akamwambia itabdi asubiri kuna mswada mpya ambao utapelekwa bungeni kujadiliwa ukiputishwa ndipo ataweza lipwa mils 33.
Sasa aliponieleza mimi japo si mwanasheria nikaona hii haiwezi kuwa kweli.
Wanajamii forums naomba msaada wa kimawazo niweze mpatia huyu kijana afanye nini kupata haki yake.