Msaada wa sheria mtu anayekupiga picha bila ruhusa yako, yani kwa siri

Lupamba's grandson

JF-Expert Member
Jan 9, 2015
1,232
1,196
Habari wana JF ,natumaini wazima ,kuna tatizo ambalo lipo ila hili nitaliandikia uzi wake hapa hapa hili nilakuhusu kesi ya mpka baina yetu na jirani yetu ,ila hili limezaa hili la picha,
Nianzie hapa ,baada ya jamaa kunyimwa kujenga ukuta wake sehemu yetu ambayo amejiongezea siku moja nikiwa nangolea majani sehemu ile ambayo imezuiliwa kujengwa mpka kesi itakapo isha nikiwa nimeinama nang, oa majani sababu kumeanza kuwa kama chaka nilistukia napigwa picha na huyu jirani yetu nilipoinuka kuangalia vizuri alikimbia ndani kujificha sasa leo hii kwenye kesi ya mpka ametoa ushaidi kwamba nilikuwa nang, oa mchicha wake na picha anazo ,naombeni msaada kwa hili alafu nitakuja kueleza tena kuomba msaada juu ya hilo swala la mpka unao leta shida hapa kwetu asantent kwa hili.
 
Swala lako ni gumu kisheria nyinyi mnawindana na ww umeingia mtegoni Pole sana...
Anaweza kukubana ww ni mkorofi lkn inategemea na muonekano wa picha jinsi ulivyoinama na eneo usika lina huo mchicha?
Kama alipanda mchicha kweli basi jukumu analo Hakimu juu yako kulipa faini au kwenda jela ama vyote kwa pamoja....
Wengi wenu amuelezi ukweli ndicho kinacho waghalimu,,
Samahani kuzama in deep..
 
Back
Top Bottom