Jinsi ya kubadili jina mahakamani

Gormahia

JF-Expert Member
Dec 22, 2014
514
347
Habari wapendwa!
Naomba kuuliza ni taratibu zipi zinatakiwa kufuatwa za kubadili jina mahakami! Nina mdogo wangu ambaye alisoma Tanzania mwaka darasa la saba na kufaulu kwenda sekondari ila kwa wakati huo alikuwa na umri mdogo hivyo kaka alimpereka kusoma Kenya kwanzia darasa la tano mpaka la saba.
Alipofika la saba akarudi soma Tanzania. Alipewa jina la mtu na sasa ni kidato cha tatu ila kwenye birth certificate ni majina yake original. Naomba kuomba hatua za kuchukua ili awe na yale majina yake original kwenye cheti chake cha kidato cha nne!
Ushauri matusi na dhihaka hayana tija kwa mambo ya msingi!.
 
Nakushauri nenda kamuone wakili upate ushauri wa kisheria, hilo swala ni nyeti sana kwa kuwa linagusa maisha ya mtu, siyo ghali sana.
 
Back
Top Bottom