Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,655
Naombeni msaa wa kujua ni sheria gani inalinda wazo la ubunifu au hatimiliki ya ubunifu wa vitu kama michoro ya nyumba,software ,musiki,mitambo na vitu mbalimbali vya ubunifu sheria na adhabu yake kwa mtu anayekuibia wazo