Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,621
- 8,411
Habari wanaJF,
Leo nimeona ni vyema tukajuzana juu ya mkataba wa huduma kwa wateja wa shirika letu la umeme Tanzania au TANESCO. Kwasababu huu ni mkataba nimeona ni vyema niweke kiambatanisho cha mkataba kilicho katika mfumo wa PDF. Kupitia nakala hiyo tutaweza kujua nini TANESCO wanakitazama kwenye muktadha wa HUDUMA KWA WATEJA na sisi kama wateja tujue nini haki yetu na nani wajibu wetu ili isiwe kazi ngumu kushirikiana na hawa jamaa.
========================
TANESCO:
TAMKO LA DIRA YA KAMPUNI
Kuwa Kampuni yenye ufanisi na mtazamo wa kibiashara na inayomjali mteja ambayo inaunga mkono maendeleo ya Tanzania na kufikia kiwango cha kuwa muhimili wa uzalishaji nishati ya umeme katika Afrika Mashariki.
TAMKO LA DHAMIRA YA KAMPUNI
Kuzalisha, kusafirisha na kusambaza umeme kwa ufanisi na ushindani endelevu kwa namna inavyowezekana.
MAMBO YA JUMLA
Mkataba huu unaweza kurekebishwa katika vipindi tofauti kulingana na mahitaji yatakayojitokeza, na pia kutokana na maoni ya wadau juu ya kuboresha huduma ili kukidhi mahitaji ya wateja.
Pakua kiambatanisho