Naomba msaada wa kisheria wadau,
Ikiwa hakimu ametoa hukumu na mshtakiwa akashinda kesi, hakimu akaruhusu ikiwa mlalamikaji hajaridhika anaweza kukata rufaa ndani ya siku 30,
Je mshatakiwa anaruhusiwa kumshtaki aliyekua mlalamikaji kwa kumpotezea muda hata ndani ya hizo siku za rufaa, au atasubiri mpaka muda wa rufaa uishe ili aliekua mlalamikaji kama hajakata rufaa ndipo amshtaki ? au?