Kwa anayejua sheria za kazi nisaidie

WAKUNJOMBE

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
612
622
Nizipi haki zako pindi ukipandishwa cheo au kutoka nafasi ya chini kwenda nafasi ya juu bila ongezeko la mshara wala grade..
mfano..ulikuwa cashier now wana kukomfemi kama accountant
then unapewa probation ya miezi mitatu then wanakukomfirm
halafu kwenye barua wameandika all terms and conditions remain the same

Je nikigoma kusaini barua watanifanyaje..?
Asanteni​
 
Nizipi haki zako pindi ukipandishwa cheo au kutoka nafasi ya chini kwenda nafasi ya juu bila ongezeko la mshara wala grade..
mfano..ulikuwa cashier now wana kukomfemi kama accountant
then unapewa prohabation ya miezi mitatu then wanakukomfirm
halafu kwenye barua wameandika all terms and conditions remain the same

Je nikigoma kusaini barua watanifanyaje..?
Asanteni​
Mkuu katika mfano wako nadhani unamaanisha mtu alikuwa cashier baadae akawa confirmed kama cashier. Kisha mtu huyo akapandishwa cheo na kuwa accountant na akawa katika probation (siyo prohabation) ya miezi mitatu na baada ya miezi hiyo mitatu akawa confirmed kama accountant.

Katika hali ya kawaida haiwezekani
cashier akawa confirmed kama accountant kisha accountant huyo ambaye ameshakuwa confirmed akapewa tena probation ya miezi mitatu kisha anakuwa confirmed tena. Nadhani umenipata.
 
Nihivi mkuu
Hiyo ya cashier ni mfano tu
Yaani mtu unakuwa nafasi ya chini then kunanafasi ya mtu ineachwa wazi..ikatangazwa intenally ukaomba then ukapewa but kwa probation ya miezi 3
then baada ya miezi mitatu wanakukufirm but comfirmatio letter inasema terms and condion zinabaki kama zilivyo..nisawa kama sio sawa unaanzaje kudai
 
Back
Top Bottom