Polisi Wamkamata Mtendaji Kwa Kutoa Barua ya Kumdhamini Mtuhumiwa

1954tanu

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
1,038
487
Polisi wanapomshikilia mwenyekiti au Mjumbe wa serikali ya mtaa kwamba alitoa Barua ya kumtambulisha mwananchi ili aweze kumdhamini nduguye aliyekàmatwa kwa kosa la kuiibia maji dawasco. Mtuhumiwa na mdhamini wametoroka .

Polisi wamemshikilia mwenyekiti wa mtaa wakisema kesi yake haina dhamana.

Kisheria hili likoje?
 
Si ametoa dhamana kwa watu wasiofahamika? Maana kama ametambulisha watu kumbe hawana makazi maalumu, ni kutorosha mshtakiwa.
 
Back
Top Bottom