Luigi Alfred
Member
- Mar 17, 2016
- 66
- 45
Wanajukwaa nakerwa na tabia hii ya uvutaji was sigara hadharani has a kwenye sehemu za burudani kama mikahawa,baa,n.k .Je ni hatua zipi kisheria unaweza kuchukua dhidi ya RAIA kama huyu? Wengi wanavuta kwa kiburi hata ukimweleza anakuwa mbogo.Bahati mbaya utakuta hata polisi was kitanzania wengi ni wavutaji hivyo kesi ya Ngedere inapelekwa kwa nyani! Msaada was kisheria tafadhali.