blackeye
JF-Expert Member
- Mar 28, 2016
- 300
- 95
Ndugu wanaJF,
Ninaomba msaada wa kisheria katika swala zima la elimu najua jukwaa hili wapo waataaam wa mambo haya
Sheria zinasemaje au zinatakaje kwa mwalimu aliye bainika kumfelisha mwanafunzi kwamaksudi na ushahidi ukiwep.
Au mwalimu anapotoa lugha ya matisho kwa mwanafunzi hasa wa chuo mfano mwalimu anasema wazi ntakukamata mtiahani wa mwisho na mengine ya kufanana na hayo.
Ushahid upo na hauna shaka ila sheria ndo sijajua naanzaje au namalizaje
Nawasilisha kwenu wana jamvi.
Ahsante