Mwajiriwa akifukuzwa chini ya miezi sita hana haki chini ya sheria ya kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwajiriwa akifukuzwa chini ya miezi sita hana haki chini ya sheria ya kazi

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Congo, Oct 18, 2011.

 1. Congo

  Congo JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,272
  Likes Received: 559
  Trophy Points: 280
  Niliajiriwa na kampuni fulani ya binafsi hapa Dar. Taratibu zote za ajira zilifuatwa. Bahati mbaya nikiwa nimetimiza miezi miwili kukatokea kutoelewana pale kazini kati yangu na mmoja wa wamiliki wa kampuni. Baada ya siku mbili nikapewa barua ya kufukuzwa kazi. Nikaenda Tume ya Usuluhishi na Uamuzi kulalamika. Niliomba kurudishwa kazini kwa sababu taratibu za kufukuzwa hazikifuatwa kwa kuwa sikusikilizwa. Nikafuata taratibu zote. Usuluhishi ukaanza, haukuzaa matunda. Tukaanza Uamuzi, wakati inaanza kusikilizwa Mwamuzi akinitaka nitoe maelezo kuhusu haki yangu ya kurudishwa kazini wakati nimefanya miezi miwili tu. Wakati wa uamuzi wake akasema kuwa mfanyakazi aliyefanya kazi chini ya miezi sita hana haki ya kudai kurudishwa kazini wala kudai haki yoyote kwa kuwa haki ya kurudishwa kazini au kulipwa ni kwa waajiriwa waliofanya kazi zaidi ya miezi sita. Nikabaki hoi. Nikatafuta ufafanuzi kwa wansheria wakasema hilo jambo linajulikana kwenye duru za Kimahakama na kinachotakiwa ni mtu wa kufungua kesi ya kikatiba kupinga vifungu vinavyomnyima haki ya msingi mfanyakazi hata kama ameonewa. Akitokea mwanasheria ambaye angependa kusoma hukumu niliyopewa ani-pm nimtumie.
   
 2. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Nafikiri kwenye mkataba wako waliaandika kipindi cha kuangaliwa(Probation Period is 6 months ) ni miezi sita(6).Baada ya hapo ndo unapewa ajira kamili.Kwa hiyo mwajiri anaweza kukufuta kazi katka kipindi hicho bila maelezo yoyote kama anaona hauna tija kwake.Soma vizuri mkatba wako ndugu yangu unasemaje neno kwa neno.Yawezekana ulisaini bila kupitia kifungu kwa kifungu neno kwa neno.
   
 3. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
 4. Congo

  Congo JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,272
  Likes Received: 559
  Trophy Points: 280
  Mkataba wa kazi (chini ya kipindi cha majaribio) hautakiwi kukinzana na sheria ya kazi na kanuni za kazi. Sheria ya kazi inaeleza vizuri sana taratibu za kumfukuza mtu aliye chini ya uangalizi (probation period). Hata kama utasaini mkataba lakini ukawa unakinzana na sheria na kanuni za sheria, basi mkataba unakuwa batili. Pia kumbuka kuwa ndani ya uangalizi haina maana hujaajiriwa. kama ni ajira huwa tayari umeshapata. lakini, kumbe sheria haitoi unafuu (remedy) kwa mtu aliyefukuzwa kazi akiwa hajamaliza miezi sita. Ukiomba kurudishwa kazini au malipo yoyote unaambiwa unafuu wa viti hivyo ni kwa waliomaliza zaidi ya miezi sita. Sasa ikiwa utaonewa, au taratibu hazikufuatwa na hujamaliza miezi sita haki yako inakuwa nini? anayejua aniambie.
   
 5. J

  Jamuhuri Huru Member

  #5
  Oct 21, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umeeleza vizuri sana hapo juu, kitu ambacho nataka kushare ni kwamba, jamani hii sheria ya kazi bado ni mpya kiasi furani kwa wafanyakazi hata wanasheria wenyewe. Ndio maana zipo ruling nyingi zilizotolewa na High Court za revision kwa makosa madogo madogo yanayosababishwa aidha na CMA au pande mbili zinazohusika na shauri. Tunatakiwa tuelewe kuwa as long ni unfair termination bila kujari kama upo kwenye probation period basi Mwamuzi/ Arbitrator ataongozwa na vifungu hivi Section 40 (1) of the ELR Act and Rule 32 of G.N # 67. Ila kabla sijaendela kuchangia zaidi ya hayo niliyosema naona ni busara sana hiyo award au maamuzi ya CMA tukayapata ili tuweze kujilizisha na pia kupata nafasi yakucomment zaidi. Irushe humo tuione au nitumie kwenye jamuhurihuru@rocketmail.com.
   
 6. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  From the Act, it appears that there can not be an unfair termination to an employee within the first 6 months:

  Sub-Part E- Unfair termination of employment
  35. The provisions of this Sub-Part shall not apply to an employee with less than 6 months' employment with the same employer, whether under one or more contracts .
  Sub-Part E, inacover sections 35-40!
   
 7. J

  Jamuhuri Huru Member

  #7
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I do not concur with you my friend. What you say, to my experience that is the running point for all those do not want to think outside the box. People who do not want reasoning, they always jumps to that Section so as to conclude matter and get paid for their poor thinking (Here referring those dealing with Human Resources or Clerks at CMA). If you go back to scholars "Law is all about reasoning…." Legal Methods will give you the tools for argument.
  Your right for the Sub Section you quote, you have to know that in ELR Act there is NO Part, Sub-Part, Section or Sub-Section that's bigger or it make more sense than the others when we are interpreting Law. But when we are reading statutes, none should contravene with Constitution, if so we declared void. For you to understand me well please follow through below arguments;
  1. The United Republic of TZ Constitution gives people the right to work "HAKI YAKUFANYA KAZI". It goes further defining what is KAZI, Article 9 (e), also the Government committed itself as per Article 11 (1) that "Mamlaka ya Nchi itaweka utaratibu unaofaa kwa ajili ya kufanikisha utekelezaji wa haki ya mtu kufanya kazi, ……………". This means no one under territory has power to stop a person to work as long as is legal work without any reason there to. The same you can read on Article 22 (1). Now who is employer to stop employee working without following procedures and without reasons?
  Yes we all know that ELR Act gives power to employer to terminate employee, but not as he/she wish. There are procedures for doing that. Refers to Section 38 of the ELR Act, Rule 4 (1) to (4), Rule 8 (1) (c ) to (d), Rule (8) (2) (c ) to (d), Rule 9 , 10, 13, 14, 18, 19, 21, and 23 of G.N. No 42. For that now I can say relaying only on Section 35 without arguing or reasoning on the facts/merits of the dispute it is injustice.
  2. Again look here! The Aggrieved (Congo) on his/her referred form (CMA F1) claims for "………Niliomba kurudishwa kazini kwa sababu taratibu za kufukuzwa hazikifuatwa kwa kuwa sikusikilizwa.……………'' This as per the Law is unfair termination [Section 37 (2) (c )], because the procedures were not followed during termination process. And to me this was supposed to be one of the issue in dispute. Section 39 says "In any proceedings concerning unfair termination of an employee by an employer, the employer shall prove that the termination is fair". Emphasis is mine. But here we find that Arbitrator comments on his/her own knowledge that "……………..akasema kuwa mfanyakazi aliyefanya kazi chini ya miezi sita hana haki ya kudai kurudishwa kazini wala kudai haki yoyote kwa kuwa haki ya kurudishwa kazini au kulipwa ni kwa waajiriwa waliofanya kazi zaidi ya miezi sita………….." emphasis is mine. Now you tell me where in the ELR Act on remedy it provide that HAKI YA KURUDISHWA KAZINI AU KULIPWA NI KWA WAAJIRIWA WALIOFANYA KAZI ZAIDI YA MIEZI SITA? Huu ni uvivu wa kufikiri wa mwamuzi na wewe unayeunga mkono swala hili. It was employer task to prove termination was fair as per quoted Section above.
  3. Far from that, the other thing you should know is that the aggrieved (Congo) on the topic dated 18 Oct 2011 he/she said that I quote "…….Taratibu zote za ajira zilifuatwa. Bahati mbaya nikiwa nimetimiza miezi miwili kukatokea kutoelewana pale kazini kati yangu na mmoja wa wamiliki wa kampuni. Baada ya siku mbili nikapewa barua ya kufukuzwa kazi………" emphasis is mine. Here Congo was not given his/her right to be heard, and here you will agree with me that natural justices were violated. Not only natural justices but also ELR Act was also violated because it provide procedures to follow when terminating employee under probation, refers to Rule 10 of G.N. No 42. What we found here employer did not follow the Law.
  4. Without going further on other authorities, you need to know "who is an employee?" Please you must read Section 4 (interpretation) of ELR Act to understand what employee means, once your comfortable with meaning. Let me take you to Sub-Part E with Section 35 as you quoted. This Sub-Part and Section will fit very well for an employee with fixed term contract or seasonal employment or applicant for employment (Section 7 (9) (b) of ELR Act, and their employment has less than 6 months. Other wise no where you can easily say the quoted Section will be the ruling for such unfair termination.
  I beg to submit and will appreciate to have your response.
  Kind regards
  Jamuhuri Huru
   
 8. Mr.Venture

  Mr.Venture JF-Expert Member

  #8
  May 25, 2016
  Joined: Jan 2, 2014
  Messages: 1,551
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Wakuu nauliza mtu akifukuzwa kazi baada ya kupatikana na hatiya ya rushwa mahakamni Je mtu huyo anaweza kupata mafao yake ya kiinua mgongo alichikuwa anakatwa kila mwezi??
   
 9. Kiboko.

  Kiboko. JF-Expert Member

  #9
  May 25, 2016
  Joined: Jul 31, 2013
  Messages: 2,673
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  We nae kitasa.ndo.kwanza hata miez mi3 bado unaaanza jeuri
   
Loading...