chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,968
habarini
kuna rafiki yangu hapa, so far ni mwaminifu, ila anataka nimkopeshe 4,000,000 ili ajazie kwenye working capital ya biashara yake
makubaliano ni atakuwa ananilipa 5% ya deni kila mwisho wa mwezi kama riba, na tumewekeandikiana mkataba na kusainiwa na pande mbili pamoja na shahidi,
je kikitokea chochote kile ambacho kinaweza kukwamisha kulipwa pesa yangu, kesi yangu itakuwa na mashiko nikidai kortini?