Naombeni kama kuna mtu anafanyakazi tigo au anafahamiana na mtu wa tigo,anisaidie jinsi gani naweza kupata evidence ya mawasiliano kuna mtu ameiba bajaji yetu..
Anza na Polisi kisha,watakupa Muongozo,
Ila ukipata RB nenda kampuni ya Simu,TCRA ambapo wao watajua kwenye data base zao.
Ila kesi hizi Polisi wanakuwa wazito kweli,mie nin akesi ya mdogo wangu aliibiwa Pale PPF Tower ndani ya Ofisi zao kwa utapeli,mpaka leo hakuna jipya.Mpaka nikaamua kumzimia hukuhuku
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.