sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,099
- 8,727
wanasheria shikamoni,
Ninahisi kuwa sheria ya nchi yetu inasema mwanamke akibakwa na mwanaume zaidi ya mmoja, au hata mmoja anatakiwa afungwe, naomba kujua kama ni kweli na ni kifungu gani kinasema hivyo na naomba mnisadie maswali haya,
1. Kama mtu kabakwa halafu aliye mbaka amemwambikiza virusi vya UKIMWI na mbakaji amefungwa, je nyinyi kama wanasheria hamuoni kama bora mbakaji angepewa adhabu ya kumtunza aliyembaka mpaka afe?
2. Kama mbakaji kamtia mimba, alafu mnamfunga kifungo cha maisha, aliyebakwa na mtoto atakayezaliwa watatunzwa na nani?
3. Ombi la msaada wa kisheria.
K, alipata kibarua cha kuuza tail, katika kampuni ya kichina, bahati mbaya tangu haanze kazi hakuwai kupewa mzigo wa tail auze, ila aliambiwa afanye kazi nyingine ambayo haikuwepo kwenye offer of employement, kwa mshahara wa laki 4, ile kazi aliyombiwa aifanye hakuifanya vizuri, mwishowe alipunguziwa mshahara wake, kutoka laki 4 mpaka 260,000.
Je anahaki ya kumuhoji mwajir?je ni hatua gani zinaweza kuchukuliwa dhidi ya mwajiri?
Huyu K aliamua kuacha kabisa kwenda ofisini kwa wachina, Je alikosea na kitendo hcho kinaweza pelekea akose haki zake?
Kumbuka K alikuwa kwenye probation
Asanteni sana ndugu zangu wanasheria.