CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,422
Mama Kairuki na Afande Mlowola, tunaomba mtupe definition ya FISADI. Hii ni muhimu kwa vile ile mahakama mnayoianzisha (christened mahakama ya mafisadi), itashughulika na mafisadi. Sasa fisadi ni yupi i.e vigezo ni vipi mpaka mtu awe fisadi. Kuna kosa katika penal code linaitwa fisadi?