Nambie msosi gani hata ukiwa unaula mwaka mzima huwezi kuuchoka.
Mimi mihogo na makange ya samaki, ukiniandalia nitakula asubuhi mchana na jioni siku zote za maisha yangu.samaki Hakifu kama nyama
Wapishiii nawaita mara 3, kweli jiko sanaa ila mnazidisha bwana, unakuta mtu kajaza maviungo mpaka hujui unakula viungo au chakula maana ladha halisi ya chakula inapotea na kama una tumbo tia maji...
Mi sikumbuki lini ni kama mwaka Sasa. Kinachonifanya nsipende sana ni shombo yake.dizaini naifananisha na mk*j*..Ina shombo Kali nisamehewe😒
Pili ni chumvi nyingi sana.
Mie asili yangu ni...
Kwa nini watu wengi wanaamini vyakula vilivyo tiwa viungo vingi na nakshi mbalimbali ndio vyakula vitamu hadi kufikia kumsifu mpishi kuwa anajua kupika??Je viungo ni vya lazima sana kwenye...
Nauliza tu maana nimetoka kula Chips za home lakini ukilinganisha na zile ambazo zinakuja kwenye foil na mitaani zinakuwaga tamu balaa na hata mpishi mwenyewe aliyepika anasema kabisa zile za...
Naomba mnisaidie kunielekeza jinsi ya kupika wali wa kuchambuka kwa kutumia jiko la gesi. Mara nyingi ninapopika, wali wangu unatoka mzito na kushikana kama ugali.
Naomba maelezo ya hatua kwa...
Kwangu mimi ni chapati sizichoki asee af za mama ntilie hapana nimekuwa affected siwez kula chakula ame pika mwingine na simuamin mtu kwenye swala la kupika ata kama nimechoka kuliko kununua bora...
Kuna hili jambo la vitu kuisha kwa wakati mmoja, tena huwa vinaanza pale ambapo hata akiba ya pesa ipo kidogo.
Mara Gesi imeisha, hujakaa sawa unga unakata, mchele, sukari yaani ni kama vinapeana...
Wakuu,
Moja ya changamoto kubwa ninayokumbana nayo ni suala la kupika.
Baada ya Kula Mgahawani kwa muda mrefu, nikaona nianze mchakato wa kupika. Lakini nimegundua kuwa, Kupika chakula cha mtu...
Wakuu kwema?
Kuna kitu kinanitatiza muda mrefu panapohusu swala la mlo na mapishi.
Ukienda migawahawa ya ushuani au umangani ukiuliza kuna chakula gani watakuambia: Kuku, Mbuzi, beef, Samaki nk...
Inahitaji kuhakikisha moto umekolea
Halafu unahikishe mwiko ni mzima hauwezi kuvunjika
Uhakikishe sufulia halijatoboka-Ni zima
Uhakikisha sufulia limelowana maji-Lina maji ya kutoshea unga wako...
nimesumbuka kwa miaka mingi sana kupata mchele mzuri
mchele wangu mimi nanunulia kwenye mastore ya mchele Tandika
so nilikua nikifika pale naangalia wenye bei kubwa ndo nanunua..ndo nasema ni...
Kila siku nimekuwa nikila vitu kwenye mzunguko uleule
Wali
Pilau
Nyama za ng'ombe na kitimoto (za kukaanga, kuchoma & kuungwa na nyanya)
Samaki (kuunga na nyanya & wa kukaanga)
Mayai (kukaanga na...
Bwana wee, kuna video huwa naona mitandaoni watu wakipika vyakula mbalimbali au kupanga vyakula kwenye sahani kwa namna ambazo zinavutia kweli, zipo ambazo nilijaribu na kufanikiwa ila nyingine...
Mwenzenu maisha ni kama yananichanganya maana suala la mlo limekuwa kizungumkuti.
Najikuta mzunguko wa chakula changu ni ule ule
- wali, samaki, maharage
- Ugali, samaki, dagaa, vegetables...
Hi guys hope mko poa,. Kwa ambao mko na changamoto mbalimbali Mungu awafanyie wepesi mkae sawa,..
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada,. Leo tutengeneze biscuits nzuri na tamu...
Hi guys,. Habari za siku nyingi
Bila kupoteza mda tupike pamoja pilau nazi
Kwenye sufuria yako ya kupikia utaweka mafuta, yakipata moto utaweka vitunguu na ( hoho ni optional)
Utakaanga kwa muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.