Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Hi guys hope mko poa,. Tupike pamoja 1. Maharage yako ambayo yashachemshwa na chumvi utaweka maji kidogo na uweke jikoni yapate moto 2. Katakata kitunguu karoti na hoho uweke na uache vichemke...
20 Reactions
89 Replies
901 Views
Habari wakuu, Kuna jambo limekuwa likinipa mtatizo sana, wakati nakuwa nilikuwa nikipenda sana kusaidia jikoni kwenye mapishi hasa siku ya ubwabwa Maharage, huku nikimuangalia Bi mkubwa akiandaa...
1 Reactions
2 Replies
247 Views
Hi guys hope mko poa,. Tupike pamoja keki hii simpe na tamu sana 1. Utaweka blueband 200g na sukari 150g kwenye bakuli utatumia mixer kuchapa 2. Utachapa mpaka ibadilike rangi iwe inaelekea...
7 Reactions
9 Replies
296 Views
Kila mtu na anavyoonja ladha kinywani mwake, kuna sisi wengine samaki ni samaki tu bora atengenezwe vizuri hatuchagui maji bahari wala chumvi. Ila kuna watu wanasema mara samaki wa maji chumvi...
2 Reactions
29 Replies
506 Views
kula vizuri hata kama life ni ngumu.
16 Reactions
125 Replies
1K Views
Hi guys, habari za siku nyingi?? Bila kupoteza mda tupike ndizi nyama pamoja… Kwenye sufuria yako ya kupikia utaweka mafuta kidogo sana, yakipata moto utaweka kitunguu hoho na karoti Utakaanga...
9 Reactions
20 Replies
442 Views
Bila shaka karibu kila kabila hapa Tanzania hutumia ugali, ubwabwa na maharage kama chakula cha heshima, fahali. Pia ni chakula pendwa, ila vyakula vingine vilivyobaki mara nyingi ni vya...
4 Reactions
16 Replies
326 Views
Step by step atanifahamu mrembo huyu na ipo siku atafungua prime minister (PM) yake. Sikati tamaa
18 Reactions
277 Replies
3K Views
Mahitaji 1. Samaki 2. Ndizi 3.mchicha 4. Karoti 5.limao 6. Chumvi Mpalue samaki wako magamba vzr kisha muoshe vizuri baada ya hapo muweke kwenye sufuria weka maji kidogo sana na chumvi kidgo...
12 Reactions
70 Replies
1K Views
Ukitaka samaki awe na ladha nzuri basi fuata maelekezo. baada ya kumsafisha na kumtengeza samaki wako. chukua viungo vifuatavyo: 1.Kitunguu swaum 2.pilipili Manga 3.Binzari Nyembamba menya...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
vitu hivi vinaleta ladha nzuri sana kwenye chakula usivipike kwa muda mrefu weka mwishoni mwishoni wa mapishi yako kwa mfano hoho weka na nyanya pilipili mbuzi weka na nazi bamia na nyanya chungu...
9 Reactions
71 Replies
794 Views
Matayatisho Iliki ,tangawizi ya kusaga ,majani ya chai , maziwa na maji na sukati Jinsi ya kuitengeneza Ni rahisi sana ufundi ni kidogo Chemsha maji yachemke kabisa kama robo lita hivi ongeza...
17 Reactions
72 Replies
11K Views
Utaanda kusaga nyama yako kama hivi baaada ya hapo chukua nyama yako ikaange ukichanganya hoho karoti pamoja na hoho ukiweza weka na pilipili Baada ya hapo chukua mands zako na uzikate upate umbo...
9 Reactions
63 Replies
1K Views
Una jisikiaje ukisha kunywa bia zako au wine au pombe kali kisha uka shushia na mlo kama huu pilipili ikiwa nyingiii
14 Reactions
203 Replies
2K Views
Nunua maarage masafi kabisa ambayo hayajakaa sana store Ambayo hayajakaa sana store bado yana rangi yake kama soya njano unakuta unjano umekolea sana Ila kama yamekaa store yanaanza kuwa kahawia...
6 Reactions
21 Replies
513 Views
Mwenyezi Mungu ametupatia aina lukuki za matunda lakini ukipita mitaani au ukitembelea kwenye nyumba zetu, juice maarufu ni ya Pasheni,Parachichi na embe. katika kusaka maarifa huku na kule...
0 Reactions
11 Replies
11K Views
Kijana mimi leo nakupa connection hii hakuna mtu jf hapa ata kuja kukupa hii conenction kabisa nakwambia acha ubishoo tafuta chako si vyema kujiita jobless vyeti weka pembeni fanya hii kitu...
57 Reactions
185 Replies
6K Views
Hell Nimekimbia mbio kwenda likizo nilipofika home nikaona niwaandalie maandazi kuepuka kuchomoana hela ya vitafuno morng So nikaanda unga wa ngano wa PPF kisha hamira, sukari, sodabik...
18 Reactions
112 Replies
3K Views
Habari Wamama naomba mnielekeze jinsi ya kupika Vinamba please 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Monetary doctor
6 Reactions
70 Replies
1K Views
Nimeileta hii mada huku kwa makusudi kwakuwa inahusika na mapishi lakini vile vile na afya zetu kwakuwa mapishi na afya haviachani Sehemu kubwa ya mboga za Darisalama zinatoka mabonde ya Mto...
11 Reactions
152 Replies
28K Views
Back
Top Bottom