Wakuu, pork ni miongoni mwa nyama zinazopendwa sana hapa Tanzania, lakini maandalizi yake yanawapa tabu watu wengi na hivyo kupelekea wengi kuifuata katika Bar au sehem zingine wanazochoma...
Imezoeleka siku za siku kuu watu hula pilau, biriani, chipsi kwa familia nyingi, siku ya sikukuu harufu za vyakula hushabiiana kwa nyumba nyingi kwani wengi hula vyakula vya aina moja.
Ni kama...
Tulia hapa nikuelekeze jinsi ya kupika kitimoto kizuri cha geto na ugali
Kwanza tafuta chainizi au mchicha ukate kama hivi nilivyo kata mimi
Kisha anza kukaanga kitimoto chako usiwek mafuta na...
Sijawahi kuelewa kuna tofauti gani ya maana kati ya supu na kinachoitwa mchemsho mpaka unakuta supu unauziwa elfu tano halafu mchemsho unauziwa elfu nane.
Kwanza kinachoitwa mchemsho ndio supu...
Natumaini mkopoa
Tujifunze namna ya kupika chapati za maji Kwa njia rahisi na haraka pia ni moja ya vitafunwa ambavyo havina mambo mengi
Mahitaji
Ngano robo au kias unachopenda Kulingana na...
Kwanza uta menya ndizi zako kisha andaa hoho, karoti,
Kumbuka utumbo mgumu kuiva so uchemshe kwa mda mrefu
Baada ya hapo anda sufiria ya kupikia weka mafuta kidogo tu yakipata moto weka ndizi...
Nyanya zinaharibika haraka? Kwa kutumia mbinu hii rahisi, unaweza kuzihifadhi ziwe fresh hadi miezi sita bila friji.
Unachohitaji
Nyanya fresh
Blender
Sufuria kubwa
Mitungi ya glass yenye...
Katika kula kwangu mikate nchi hii sijawahi kuona Mikate iliyo bora zaidi ya Supa Loaf, Sunkist na ile ya Iringa inayouzwa kwenye magari. Hii mikate inahitaji heshima nchi hii kwa sababu ina hadhi...
Chips za mtaani zinabaki kuwa chips bora na tamu kuliko chips za sehemu yeyote ile.
Though upishi wa chips ni mmoja lakini bado utashangaa radha zinatofautiana au waungwana huweka vidawa.
Hasa...
Usiku huu hapakaliki wala hapalaliki kila nikijaribu kupumzika nashindwa kisa hamu ya kitumbua.
Kuna hamu ya kawaida halafu kuna ile ambayo mie inanishika nikikitaka kitumbua.
Saa tano hii...
Zamani wakati nakuwa nilikuwa nikisikia kutapikiwa chapati hiyo siku nitafanya yote kwa umakini kuhakikisha simkeri bimkubwa maana kaka zangu wasingenielewa, lakini siku hizi chapati zimeshuka...
Well for me natumia hii njia na zinakaa kwa muda mrefu sana, naziweka kwenye container au organizer kama hapo nazijaza maji😊 njia ziko nyingi wewe unafanyaje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.