Forrest Gump
JF-Expert Member
- Jul 2, 2021
- 757
- 2,141
Step by step atanifahamu mrembo huyu na ipo siku atafungua prime minister (PM) yake. Sikati tamaa
Seran usilegeze kamba ,kataa kwa nguvu zote nakuombaStep by step atanifahamu mrembo huyu na ipo siku atafungua prime minister (PM) yake. Sikati tamaa
View attachment 3586376
Kwenye huu mfumo hapo uongezeke ugali mkubwa tu hamuonaniStep by step atanifahamu mrembo huyu na ipo siku atafungua prime minister (PM) yake. Sikati tamaa
View attachment 3586376
Mbona wangu ninaye huku ndani kafikaje tena huku😱Mbona unakuwa mjinga na mpumbavu mkuu .....
Unampenda mtu humjui ? Hujawahi kumuona ? Hujui hata background ama status yake ?
Just kuona threads na comments zake umempenda ? How?
Tuna shida kubwa sio kidogo, ndio maana lile lijamaa la marekani lilisema tunahitaji kutawaliwa tena ... shit_hole
Seran njoo mchukue mumeo mama
Mbona unakuwa mjinga na mpumbavu mkuu .....
Unampenda mtu humjui ? Hujawahi kumuona ? Hujui hata background ama status yake ?
Just kuona threads na comments zake umempenda ? How?
Tuna shida kubwa sio kidogo, ndio maana lile lijamaa la marekani lilisema tunahitaji kutawaliwa tena ... shit_hole
Seran njoo mchukue mumeo mama
Ila sio kosa lake kupenda kivyovyoteMkuu una kichaa? Unampenda mtu au ID yake hapa? Acha upuuzi
Hilo Tonge Moja La Ugali Unakula Vp ?
Usiniambie na wewe unaamini huu ujinga hapa🤣Ila sio kosa lake kupenda kivyovyote
Kila mtu Ana style yake ya kupenda wakuu muacheni na hisia zake
😂 inaweza kuwa utani au serious mkuu ila me nimeongelea kuhusu kupenda ila kukubali au kukataa ni juu yakoUsiniambie na wewe unaamini huu ujinga hapa🤣