Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,935
- 4,181
Mwenzenu maisha ni kama yananichanganya maana suala la mlo limekuwa kizungumkuti.
Najikuta mzunguko wa chakula changu ni ule ule
- wali, samaki, maharage
- Ugali, samaki, dagaa, vegetables, Viazi
Kiasi kwamba nimefikia hatua naghairisha kula kwasababu sioni kipya Cha kupika au kupikiwa nalala tu na njaa zangu.
Kuhusu nyama Mimi ni miongoni mwa watu wenye allergy na nyama hakuna nyama yoyote ninayoitumia duniani
Wenzangu nisaidie kunitajia aina nyingne za vyakula japo nikajaribu maana repeating Meal inaelekea kunishinda kabisa.