Chemsha bongo.

ZeMarcopolo

JF-Expert Member
May 11, 2008
14,014
7,203
Chemsha bongo kwa wana JF:

Je nani anaweza kutaja nchi nne za Africa ambazo hazijawahi kutawaliwa bila kutumia google au search engine nyingine?
 
Mikindani patamu kwelikweli na beach ya mawe, asante kwa mji huu wa kihistoria.
jibu ni:
1. Eritrea 2. Ethiopia 3. Liberia 4. Tanzania.

Lengo la chemsha bongo lilikuwa ni kupima watanzania wangapi wako aware na fact kwamba Tanzania haijawahi kutawaliwa.

Jumapili njema.
 
Na mashaka kidogo na majibu yako kutawaliwa kwa namna gani maana Tanzania imetawaliwa na waingerza pia wajerumani naomba ufafanuzi zaidi
 
Mkuu, what jamaa hapo juu anachomanisha kuwa Tanzania(1964) haijawai tawaliwa, what u mean i guess ni Tanganyika/Zanzibar ambazo ni nchi zilizotawaliwa na Mwingereza ktk wakati tofauti including mjerumani kwa upande wa bara.

Ila still nina mashaka na Ethipia hivi waitalinao hawakurudi kweli kuwatalawa ingawa ilikuwa briefly??, am some how poor in history plz throw more lights into me over that....!!
 
Tanzania ni nchi iliyozaliwa mwaka 1964 na tangu imeanzishwa hakuna nchi iliyowahi kuitawala.
 
Ebwanae hii kubwa maana ilikuwa niingie mkenge kumbe kuna Tanzania na Tanganyika in term of political issues mi nimezama sana kijiografia sasa nilishaanza ku-doubt majibu yako mkuu zemarcopolo; ila kama ndio hivyo okey Hii kiboko si utani tupe nyingine please....
 
Mkuu, what jamaa hapo juu anachomanisha kuwa Tanzania(1964) haijawai tawaliwa, what u mean i guess ni Tanganyika/Zanzibar ambazo ni nchi zilizotawaliwa na Mwingereza ktk wakati tofauti including mjerumani kwa upande wa bara.

Ila still nina mashaka na Ethipia hivi waitalinao hawakurudi kweli kuwatalawa ingawa ilikuwa briefly??, am some how poor in history plz throw more lights into me over that....!!

Ethiopia iliundwa ili kuwarudisha baadhi ya watumwa waliokuwa wamepeleka ughaibuni. So its a free state..haijawahi tawaliwa!
 
Mikindani patamu kwelikweli na beach ya mawe, asante kwa mji huu wa kihistoria.
jibu ni:
1. Eritrea 2. Ethiopia 3. Liberia 4. Tanzania.

Lengo la chemsha bongo lilikuwa ni kupima watanzania wangapi wako aware na fact kwamba Tanzania haijawahi kutawaliwa.

Jumapili njema.

Kwa maana hiyo basi nchi kama Burkinafaso ( formely upper Volta), Zaire formely Congo Kinshasa, Benin formerly Dahomey, southern Rhodesia formerly Zimbabwe, Northern Rhodisia formerly Zambia, tutasemaje
 
duh mkuu umefikiria mbali...mdau alitudanganya...tuitishe change sasa!
 
Kwa maana hiyo basi nchi kama Burkinafaso ( formely upper Volta), Zaire formely Congo Kinshasa, Benin formerly Dahomey, southern Rhodesia formerly Zimbabwe, Northern Rhodisia formerly Zambia, tutasemaje

duh...note the difference between a change of name and change of territory!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom