Kuswahilisha programu - Tunaomba msaada wako. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuswahilisha programu - Tunaomba msaada wako.

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by emanuel.feruzi, Aug 22, 2010.

 1. emanuel.feruzi

  emanuel.feruzi Senior Member

  #1
  Aug 22, 2010
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 103
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu Watanzania na wale wote mnaozungumza Kiswahili,

  Kwa mwaka wa pili sasa nimekuwa nikijushughulisha na kuswahilisha programu za kompyuta. Mwaka huu tunapenda kufanya programu zifuatazo:-
  • TuxPaint - interactive paint program designed for children three years and up.
  • Virtaal - is a graphical translation tool. It is meant to be easy to use and powerful at the same time.
  • VLC - is a powerful media player, playing most of the media codecs and video.
  • Pootle - is a user-friendly web portal that makes the translation process so much simpler.
  • Pidgin - chat client used by millions. Connect easily to MSN, Google Talk, Yahoo, AIM and other chat networks all at once.
  Tafadhali tusaidiane kuboresha tafsiri hizi na pia kutafsiri maneno mapya tunayokutana nayo. Pia kama unafahamu mtu, kikundi cha watu, idara au kampuni inayoweza kutusaidi kwa namna moja au nyingine tafadhali tupe mawasiliano yao au wape ya kwetu localization@trilabs.co.tz / +255655874522.

  Tutashukuru kwa msaada wenu.
   
Loading...