Ni ipi maana sahihi ya neno hili kwa kiswahili fasaha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni ipi maana sahihi ya neno hili kwa kiswahili fasaha

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by KiuyaJibu, Aug 6, 2010.

 1. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2010
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 769
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Rejea kichwa cha habari hapo juu;neno lenyewe ni SOCIALIZATION
  Wakuu hapa jamvini naombeni msaada wenu iliniweze kumfahamu na kuwafahamisha wengine pia.
   
 2. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  socialize vt ishi pamoja; endesha/fanya -a umma, juana. socialization n. socially adv pamoja.
   
 3. k

  klf Member

  #3
  Aug 6, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Bwana Lumbe ametoa maelezo kamili.

  Mchango wangu unagusa neno la kiswahili linalokaribia dhana hii yaani "ujamiishaji" = socialization. Mchakato huu hufanya mtu afungamane kikamilifu na jamii ambapo yeye ni mwanachama. (Fungamano la kijamii)

  Waweza pia nafikiri kutumia "ujumuishaji" au "uwanajumuiya" kutafsiri "socialization".
   
 4. T

  Taso JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2010
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,648
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  Kwanini nirejee huko juu tena wakati kichwa cha habari nilishakiona nikakipita?
   
 5. Swahilian

  Swahilian JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2010
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 585
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mie naunga mkono maana/fasili hizo hapo juu walizofafanua ndugu, lakini pia neno lenye ya karibu kwa SOCIAL- Katika kiswahili ni jumuia./jumuishi/jambo lishirikishalo watu kadha wa kadha.
  Hivyo Socialiaz/sation- na weza kusema ni UJUMU/ISHO/SHAJI WATU/KONGAMANO/JUMUISHI/USHIRIKA/UJAMAA... Na Mengineyo....


  ''Naendelea Kufikiri juu ya Fasili Kufikiri Fasili''
   
Loading...