Najua kuna huu mfumo wa STAKABADHI GHALANI kwa wakulima wa mazao ya kibiashara.
Mie mwenzenu ninapitwa na mengi basi naomba anaeufahamu huu mfumo anijuze.
Tafadhali tumia lugha rahisi ya kueleweka na ufasaha unapouelezea huu mfumo kana kwamba unamfundisha mtoto wa darasa la tatu.
Natanguliza shukrani.