Kwa wale wanaotaka kwenda China hapa usikose!

Kwa wale wanaotaka kwenda China hapa usikose!

Ukwelinauhakika

Senior Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
156
Reaction score
40
Tunafundisha lugha ya kichina na kifaransa kwa bei nafuu sana.

Jua kuwasiliana kwa kichina ili uweze kuwa na biashara nzuri na wageni hasa wachina wanaokuka kwa wingi Tanzania.

Piga 0684 085 638/0714777211/0652013836/0766866717

Tupo kariakoo. Muheza na masasi street..uhuru road karibu na ghorofa ya SUMA, ghorofa ya pili na kwanza
 
Mnatumia muda gani kumfundisha mtu mpaka kuongea na kuandika both kifaransa na kichina?fees?
 
Tunafundisha lugha ya kichina na kifaransa kwa bei nafuu sana.

Jua kuwasiliana kwa kichina ili uweze kuwa na biashara nzuri na wageni hasa wachina wanaokuka kwa wingi Tanzania.

Piga 0684 085 638/0714777211/0652013836/0766866717

Tupo kariakoo. Muheza na masasi street..uhuru road karibu na ghorofa ya SUMA, ghorofa ya pili na kwanza

土瓜湾北加尼?
土瓜湾慕达加尼?


阿散蒂
 
acheni wizi, ukitua tu pale Guangzhou wachina wanaofanya biashara pale wanapiga kiswahili ka wapo Tandale

mwezi jana wachina fulani nilikubaliana nao niwatengenezee taarifa fulani,
nkajitia kuweka kidhungu wee walikuja juu utafikiri wazaramo, eti wao hawatumii English na kuwa niandike kiswahili ndicho tunakijua zaidi!

Na kweli mwezi uliofuata nikawatengenezea ya kiswahili aisee mnabishana kama mpo tandale kwa tumbo mnaargue na muuza bucha aliyekuchanganyia utumbo kwenye robo kilo ya nyama
 
Bei yenu ikoje?
Kozi inachukua muda gani?
Masomo huanza SAA ngapi mpaka SAA ngapi?
Kupiga simu litakuwa Ni suala la mwisho,tuwekeeni kila kiti wazi Ili maswali yasiwe mengi.
Nalog off
 
Back
Top Bottom