Tazama ndani nafsini,taona upo shimoni.
Miguu nasa topeni,lilozito mchangani.
Kwa maji mferejini,yaendayo mashambani
Yenye kasi kama nini,yabeba vita sabini.
Kwenye vita vya kunguru,mwewe huwa...
sote twendeni sanjari,kwa nguvu pia na hari.
Tuvisahau viburi,tuifanye kwa hiyari.
Tena tukiwa tayari,kama vile tu mandari.
Kwa nguvu ka majabari,tuupande kihodari.
Kwa miguu ama gari,tuukwee...
Volunters waliopo Arusha wanaozungumza kijerumani na wanahitaji mtu anayezungumza lugha yao ili kubadilishana mawazo. Napatikana, nataka nikuze lugha yangu ya german kupitia wao. Hakuna malipo...
Habari MWANANCHI.
Jina langu ni Iddy Ninga ninaishi
Tengeru Arusha.
Nimetuma shairi hili kama
kumbukumbu ya mateso na ukatili
alofanyiwa
mtoto Nasra mvungi.
1>shairi naliandika,machozi...
Once Upon a Time
Once upon a time, son,
they used to laugh with their hearts
and laugh with their eyes:
but now they only laugh with their teeth,
while their ice-block-cold eyes
search...
hivi wanasarufi katika isimu ya lugha ya kiswahili,hii sentensi ni sahihi au si sahihi? "samahani kaka,naweza kukuuliza swali?" NB:katika fikra zangu,nimeona kuwa hii...
Mimi huwa naangalia movies za kiingereza, nasoma viji stories vidogo vidogo, nasoma novels halafu pale nnapokuwa peke yangu nakuwa nasoma kwa sauti ili kuangalia tonation yangu ipoje. Kwa kweli...
Nimekutana na watu kama sikosei hawapungui 20 mpaka sasa waliokwishapiga kura mpaka muda huu..Neno 'NIMESHACHINJA TAYARI' Limetawala vinywani mwao.
Je,neno hili lina maana ya moja kwa moja...
O What Is That Sound
O what is that sound which so thrills the ear
Down in the valley drumming, drumming?
Only the scarlet soldiers, dear,
The soldiers coming.
O what is that...
IFUATAYO NI SEHEMU NYINGINE YA SHAIRI LILOANDIKWA NA IDD NINGA.
INGAWA MAUDHUI YA SHAIRI HILI YAMEJIFICHA LAKINI NI MARAHISI KUYAELEWA
1>ni majanga na balaa,nyoka anajibabua.
Kwa ndugu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.