Chanzo cha migogoro

maumi kweupe

Member
Dec 9, 2015
14
1
Hi to every body....!!

Katika harakati za maisha ya kila siku migogoro mingi inayotokea huwa inasababishwa na ujumbe unaopatikana kwenye hii statement.."the desire to cheat and the refusal to be cheated results into conflicts among people in the community"

Tuchangie mawazo wadau na kama yupo mwenye ideas zingine atupie...!!
 
Back
Top Bottom