nataka Kuwa mkalima

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
16,708
13,158
Husika Na kichwa cha habari hapo juu,nataka kujifunza lugha tofauti Ili niwe mkalimani,kuhusu uhitajika wa wakalimani ktk soko la kazi Hilo sina uhakika nalo ila nikijua hizi lugha nitafurahi sana.lugha nizijuazo kuziongea Na kuziandika
1.kiswahili..good
2.English....good
3.Portuguese....good
4.kiarabu...kuongea poor,kuandika good
5.kifaransa...sikijui
6.kispanyol...nakisikia kwa Kuwa wanaingiliana Na kireno.
7.mandarim,kichina...sikijui ila Hii lugha inauza kwa Kuwa Uchina watu wanakwenda sana nao wao wanakuja kutuibia.

Naomba msaada wa majina ya vitabu vya lugha hizo vitakavyonisaidia Ili nifanikishe ndoto yangu.
Nalog off
 
Jitahdi ujifunze na KiGerman" naonaga Zanzibar na Arusha watalii wakiGerman wakitafuta sna wakalimani"
 
Hapo title umeandika mkalima. Hujui kuna maneno ukikosea herufi moja tu unaweza kusababisha majanga kabisa?
 
Back
Top Bottom