Kwanini nchi huitwa (her)? Mfano 'Tanganyika got her independence'..

DaveSave

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Posts
442
Reaction score
649
Naamini tumekuwa tukijiuliza hili swali na baadhi kupotezea.
>>>>>

Hili ni moja ya jibu nililokutana nalo;

Although English is gender neutral and has no feminine and masculine distinctions between words, it is descended from Latin, which does. The Latin phrase for earth or ground is "terra firma," which is feminine. Hence, the planet is often referred to as "Mother Earth" and not "Father Earth."
Germany is the only country that has referred to itself in the masculine. During World War II, it was known as the "Vaterland," which, although gender neutral, is literally translated as "Fatherland."

Kama kuna atakayeweza kutufunza zaidi, uwanja uko wazi.
 
German pekee ndio nchi inayotumia his/ yaani ya kiume.
 
Akipatikana mbatia anaweza kujibu hapa"mama tanzania"

Katika matumizi ya maneno he na she, tunaambiwa kuwa "she" ina tumika kwa jinsia ya kike ambayo ndiyo hubeba kiumbe katika tumbo lake , hivyo hivyo katika nchi sisi wananchi na vitu vyote huchukuliwa kinadharia kama tuko ndani ya tumbo moja ( ambalo ni nchi ) hivyo nchi hiyo huwa kama mama yetu aliyetutunza ndani yake.

Ingawa kwa mjerumani Adolf Hitler alikataa kutumia "she" bali alitumia "he" kwa sababu zake yeye mwenyewe kama Hitler the Germany Iron.
 
German pekee ndio nchi inayotumia his/ yaani ya kiume.

sio nchi tu hata meli hutumia pronoun ya her.turudi kwenye swali lako nchi hufaoanishwa na vmbo la mwanamke na sisi ni watoto tuko tumboni,wanaosema germany inatumia his wanamaanisha germany ni handsome country na sio beautiful country .hainogi
 
Sababu mademu ni wengi, wakiongezeka wanaume watabadilisha!
 
Katika lugha ya kiingereza, vitu vikubwa sana (extremely huge) kama nchi, meli na vitu vingine vinatumia She sijui kwa nini lakini nafikiri kwa sababu lugha hiyo hiyo inamuita Mwenyezimungu HE!
 
Kama sijakosea hata Israel wanatumia ''HE'', Niliwaha kusoma sentesi moja ikitambua Isarael kama His Economy
 
sio nchi tu hata meli hutumia pronoun ya her.turudi kwenye swali lako nchi hufaoanishwa na vmbo la mwanamke na sisi ni watoto tuko tumboni,wanaosema germany inatumia his wanamaanisha germany ni handsome country na sio beautiful country .hainogi

Mambo ya Hitler mkuu
Aliamini kwamba ujerumani ndio taifa kubwa na lenye nguvu kwa kipindi chake..
 
Katika matumizi ya maneno he na she, tunaambiwa kuwa "she" ina tumika kwa jinsia ya kike ambayo ndiyo hubeba kiumbe katika tumbo lake , hivyo hivyo katika nchi sisi wananchi na vitu vyote huchukuliwa kinadharia kama tuko ndani ya tumbo moja ( ambalo ni nchi ) hivyo nchi hiyo huwa kama mama yetu aliyetutunza ndani yake.

Ingawa kwa mjerumani Adolf Hitler alikataa kutumia "she" bali alitumia "he" kwa sababu zake yeye mwenyewe kama Hitler the Germany Iron.

Mbatia!
 
Tuna ichukulia kama mama yani sehemu ambayo wananchi wanalelewa taifa lolote lile ni mama kwa wananchi wake
 
Naomba kuongezea swali na kwanini meli (ship)hutumia pronoun ya she?
 
Hapa kuna ilmu kubwa sana hata baadhi ya waingereza hawawezi kujibu
 
Katika lugha ya kiingereza, vitu vikubwa sana (extremely huge) kama nchi, meli na vitu vingine vinatumia She sijui kwa nini lakini nafikiri kwa sababu lugha hiyo hiyo inamuita Mwenyezimungu HE!

Mkuu Nadhani Punda dume hawapo kwenye hii orodha ya vitu vikubwa au kama wapo watakua na exemption
 
Ni kwa sababu nchi inazalisha (productive) namkumbuka mwalimu wangu wa civics aliwahi kutuambia hvyo
 
Katika matumizi ya maneno he na she, tunaambiwa kuwa "she" ina tumika kwa jinsia ya kike ambayo ndiyo hubeba kiumbe katika tumbo lake , hivyo hivyo katika nchi sisi wananchi na vitu vyote huchukuliwa kinadharia kama tuko ndani ya tumbo moja ( ambalo ni nchi ) hivyo nchi hiyo huwa kama mama yetu aliyetutunza ndani yake.

Ingawa kwa mjerumani Adolf Hitler alikataa kutumia "she" bali alitumia "he" kwa sababu zake yeye mwenyewe kama Hitler the Germany Iron.

her MeinKempf bist du deutsch sprachige! Oder nur deine name?
 
Back
Top Bottom