MWENDO KASI.
1)ni vu zaidi ya honda,hivyo ndivyo wavyoona.
Vitambi vya zidi konda,vinakufa vya kunona.
Ndo tunda walilopanda,kuleni acha kununa.
Huo ndio mwendo kasi,karibia utazima.
2)sasa...
Nadhani mko poa.
Habari zenu wakuu na wajuzi wa lugha,mimi japo ni mswahili na kiswahili ndio lugha ambayo hata ndotoni ndio naitumia nina matatizo makubwa sana ya kutumia lugha hii kwenye simu...
Watu wengi nimewasikia wakitamka neno 'embu' na kwa upande mwingine nimewasikia wakisema 'ebu' na wengine pia 'hebu' mfano;
Mtu wa 1:embu niletee maji
Mtu wa 2:ebu niletee maji
Mtu wa 3:hebu...
Wataalam wa lugha,
Naombeni mnipe tofauti ya maneno hayo hapo mawili.Ninaangalia namna ya kuandaa utetezi wa Lissu na kumchomoa makuchani mwa wabaya wake.
Kile kidubwana tulikuwa tukikizungusha kwa kukichapa na mjeledi tukiwa madogo enzi hizo kinaitwa PIA sasa kwa kiingereza kinaitwaje,nimetafuta hata online sikupata maana yake.
Matumaini yangu mpo wazima, Ishu ni kwamba mimi binafsi nafikili kuna baadhi ya vitu au maneno si yalazima kuyataja ktk sentensi au kauli. kwa mfano uta sikia mtu anasema "Ngoja kwanza nikaoge...
Ni baba wa rafiki yangu kwa bahati mbaya hawajawahi kuonana,,kuna taarifa zinahitajika kuhusu kabila lake...taarifa zilizopo ni watu wa maeneo ya mbesa Tunduru....Ruvuma.Msaada wenu tafadhali kwa...
Ni'lenaye kisirani, mshari pia jeuri,
Ala vitu hadharani, subuhi na adhuhuri,
Na swaumu hapatani, ila apenda futari,
Jike langu mtihani, haifungi ramadhani.
Kufunga ati hafungi, ila daku atakula...
wahenga walisema chanda chema huvikwa pete na mchagua jembe si mkulima! na pia aliye juu mngoje chini! hembu na wewe tupia ya kwako ya wahenga! karibu....
Vitenzi vya ungonoishaji ni vitenzi vinavyochukuliwa kuwa na uhusiano na tendo nzima la kujamiiana.
Matumizi hayo ya maneno yamepelekea wataalamu kutoka chuo kikuu cha dar es salaam idara ya...
Wasalaamu wanajamvi.
Ninaelewa hapa pana wataalamu &na wajuzi kutoka TUKI. Vinginevyo hata kwa aliye yeyote.
Nina hitaji la Kamusi ya Lugha ya Kiswahili yenye vidahizi(maneno), misamiati na...
Kiswahili ni zao lililotokana na lugha hizi za kibantu , ambazo zmechangia kwa kias kikubwa misamiat katka lugha yetu lugha ya kiarabu nayo kwa asilimia zake imechangia. Kiswahili kinakua kwa kasi...
*POLE MTU MWEUSI.*
1) _pole watu weusi,kwa kuzidi kuonewa._
_Poleni watu weusi,kwa kuzidi baguliwa._
_Poleni watu weusi,kwa kuzidi kuuliwa._
*Poleni watu mweusi,ubaguzu wendelea.*
2)wala si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.