Ngazi kwa kiingereza inaitwaje?

Ww unatka kupanda ngaz gan?km laddar unasema I'm climbing a ladder na km upstairs unasema I'm going upstairs
Je ukiwa kwenye zile za umeme? Zile ambazo mnaingia kama chumbani then mnabofya namba mnajikuta mko sehemu mnayotaka inaitwaje hiyo?
 
Ngazi inaitwa ladder ( kifaa) Na zile za nyumba yaani sehemu ya jengo huitwa upstairs
Naomba nikurebishe. Ngazi za ndani (au hata nje) ya jengo zinaitwa STAIRS na sio Upstairs.

Upstairs inatumika kama mahali ambapo ni ghorofani. Hivyo ndio maana unapotaka kwenda ghorofani juu, unasema 'I am going Upstairs' ila unapotaka kushuka kutoka ghorofani unasema 'I am going downstairs'
 
Back
Top Bottom