mndenge pro
Member
- Apr 11, 2016
- 19
- 5
Kiswahili ni zao lililotokana na lugha hizi za kibantu , ambazo zmechangia kwa kias kikubwa misamiat katka lugha yetu lugha ya kiarabu nayo kwa asilimia zake imechangia. Kiswahili kinakua kwa kasi ukuaj wa lugha huenda sanjar na uongezwaj wa misamiat . Leo ningependa kuongeza msamiat mmoja katka lugha hii nenoTotomea ambalo kwa asili ni neno kutuka lugha ya kinyakyusa lkitamkwa totomera maana yake ni kutamani ila ni kwa nia mbaya.binafsi na penda msamiat huu uingizwe ktk lugha kwan huondo mkanganyiko tunapotumia neno tamani ambalo kwa hakika halijitoshelez ki maana.naamin wadau walugha mmelipokea.