Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
  • Closed
Habari wapendwa naomba msaada wa majina common yanayotumiwa na wahehe
0 Reactions
91 Replies
29K Views
NYAMA YA BUNDI. 1)ni tamu kama halua,ila ni chungu kuila. Kumeza hutoamua,kama ukila kwa hila. Mpishi wajipikia,pishi liso na fadhila. Nyama ya bundi si tamu,vipi unatuwindia. 2)nyumbani...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hata kama kitu ni muhimu kwako, au ni mtu muhimu,iwe ni ndugu yako pengine imetokea mumetofautiana kimawazo au ugomvi, Jirani yako, au rafiki ama mtu wa kati hataki kujua chanzo cha matatizo au...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
gotta, outcha, outa n.k ya huu mfumo yani american wanayatumia sana. ongezea na unayoyajua unitoe huku gizani
0 Reactions
24 Replies
4K Views
WASHAIRI MAPOKEO. 1)ni kweli tumeridhika,kwa kuishia kutunga. Huku tukifurahika,kwa tungo twaunga unga. Ama tunahuzunika,wa bara hata wa tanga. Washairi mapokeo,mbona hatusongi mbele. 2)wenzetu...
0 Reactions
0 Replies
839 Views
MSOMI. Shika kalamu itulize, Andika karatasini usijiulize, Nakufunza kuandika vyema uweze, Usikawie utafeli sauti yangu itekeleze, Somo ni imla ,habari ni ndefu, Ongeza kasi jioni mwanga hafifu...
0 Reactions
0 Replies
889 Views
Wakuu, naombwa kujuzwa. Hili neno "marehemu"ni kiswahili? Kwa lugha ya kwenu ni nini au mnamwitaje kwa kilugha ya kwenu.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wakuu hivi ni nchi gani inayotambulika world wide kwamba yeye ndio mmliki wa lugha hi kati ya tz na kenya maana nmeona matamasha mengi ya kenya wakijivuna kuwa kiswahl ni chao
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Mama siku imefika, ya wewe ulonizaa, Pia sasa ni miaka, tangu walipokutwaa, Mwaka uliokauka, nusura niwe kichaa, Mama sasa nayaona, mwanao nimeshakua. Ukitaabika mno, kwa nguvu zilobakia...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Nipo hapa nasoma katiba ya chama cha mapinduzi toleo la 2012!Nimekutana na neno ''hatamu''naomba wajuvi mniambie lina maana gani?
0 Reactions
6 Replies
15K Views
Habar wakuu, Nianze kw kumshukuru aliye toa wazo la kuunda lugha ya KISWAHILI.Binafsi huwa najiskia Furaha Sana nnapo itumia lugha hii tamu,iliyo jaa hekima na ukarimu.... Watu wanao itumia pia Ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ukarabati na ukarafati
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Mnisaidie tafsiri ya maneno yafuatayo kwa kiingereza. Mpunga, Mchele na wali. Natanguliza shukrani zangu.
0 Reactions
18 Replies
9K Views
KICHWA CHAKO NDO KITABU. 1)Kurasa ile ya kwanza,hufungui kwa mkono. Hasa pale upo anza,wayafunua maono. Kufungua wajifunza,nywele ndo yako maono. Kichwa ni kitabu chako,acha akili isome...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naomba nifahamishwe na wengine pia wanufaike je, Duniani kuna Lugha ngapi ..........kuanzia zile rasmi na zile za kienyeji.
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Anaefahamu kifaa hiki water dispenser kinaitwaje kwa Kiswahili
2 Reactions
34 Replies
12K Views
Kwa wale "malinguistics" naomba mwongozo which is is the correct sentence "you can't give what you can't have or you can't give what you don't have....jamani hizi lugha za watu uwii
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Kweli safari si kifo, ila yako yaniua, Inaniua fofofo, mpenzi hilo tambua, Nenda msalimu Jafo, na wote wano nijua, Kwaheri mpenzi wangu, nenda urudi salama. Huu upweke siwezi, sikiza wangu...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Huyo na Yule, Lipi na Gani?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
UKAWA UKUTA. 1)hi ndio khasara yake,gari kukosa kioo. Lione gari ndo lake,siyo waseme ni ndio. Acha wafie kivyake,jicho ona chungulio. Kuwa ukawa ukiwa,kuta litawa mkia. 2)maneno mengi...
1 Reactions
0 Replies
987 Views
Back
Top Bottom