Tofauti ya kupiga kijembe na kutukana

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,636
2,725
Wataalam wa lugha,

Naombeni mnipe tofauti ya maneno hayo hapo mawili.Ninaangalia namna ya kuandaa utetezi wa Lissu na kumchomoa makuchani mwa wabaya wake.
 
Kupiga kijembe ni lugha ilojificha ila ni ya kejeli/kebehi na tofauti na kutukana, mfano - kumsifia mtu Kwa sifa nzuri ila kafanya vibaya. Kutukana ni kutukana tu ( Kwa uelewa wangu)
 
Back
Top Bottom