Ongeza vitenzi vya ungonoishaji katika thread hii

Ntandaba

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
922
1,472
Vitenzi vya ungonoishaji ni vitenzi vinavyochukuliwa kuwa na uhusiano na tendo nzima la kujamiiana.
Matumizi hayo ya maneno yamepelekea wataalamu kutoka chuo kikuu cha dar es salaam idara ya taaluma ya lugha ya kiswahili na kigeni kuweza kufanyia utafiti na kuibua dhana mpya ya vitenzi vya ungonoishaji
Hivyo ukiwa kama mdau wa lugha hii hebu nawe ongeza vitenzi hivyo kwa kuvihusisha na tendo hilo mfano,pachika,tia,ingiza,nyonya nk
 
Back
Top Bottom