Asili ya jina Mseke

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
16,456
30,882
Wadau jina mseke ni jina la kabila gani? Much thanx in advance
 
Msati Mseke is the latest single from gospel artist Patience Namadingo
 
Kituo kimoja cha daladala kabla ya kufika Pansiasi-Mwanza kinaitwa MSEKE.
 
Mseke kwa tanga ni aina ya ndege ana umbo ndogo na mjanja mjanja! Huwa wanafugwa katika vibanda vidogo vidogo vya kutengeneza!
Huwa wana sauti nzuri na rangi za kuvutia na hupendwa na watu na ndio maana wanafugwa!

Asanteni
 
kasuku
 
Akina Mseke ni watu wenye asiloi ya Marangu-Kilimanjaro,binafsi nafahamu hadi walipo na ndio chimbuko la akina Joh Makini japo wao wameloea Arusha
 
Back
Top Bottom