Msaada wa utambuzi wa kabila la jina "Kedewele"

Ndengaso

JF-Expert Member
Jul 18, 2014
7,368
13,231
Ni baba wa rafiki yangu kwa bahati mbaya hawajawahi kuonana,,kuna taarifa zinahitajika kuhusu kabila lake...taarifa zilizopo ni watu wa maeneo ya mbesa Tunduru....Ruvuma.Msaada wenu tafadhali kwa anayeweza kufahamu jina la kabila lao....
 
Back
Top Bottom