Vipi wenzangu huwa mnaelewa setting ya lugha ya kiswahili kwenye simu ??

samsun

JF-Expert Member
Feb 9, 2014
7,386
5,954
Nadhani mko poa.

Habari zenu wakuu na wajuzi wa lugha,mimi japo ni mswahili na kiswahili ndio lugha ambayo hata ndotoni ndio naitumia nina matatizo makubwa sana ya kutumia lugha hii kwenye simu. Nyinyi wenzangu vipi huwa mnaelewa ...........na kama unaelewa si vibaya ukaelezea baadhi ya maneno hayo ya kiswahili na maana zake.
 
Back
Top Bottom