Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Binafsi huwa nashindwa kupata tafsiri halisi ya huu msemo ,
0 Reactions
55 Replies
5K Views
Rushwa...wizi...!? Japo elimu sio wingi wa vitabu ulivyosoma !!bali hata Ufahamu Ni Roho (spirit) uliyozaliwa nayo ...sasa Inapokuaja kwenye tuwe Ujinga!? wajinga?..Nataka kujua zaidi! Hivi...
0 Reactions
7 Replies
15K Views
Miaka ya themanini katikati (1984 - 1986) Gari lililokuwa linaonekana la kisasa na la thamani lilikuwa ni gari aina ya Pajero. Mitaani wakaamua kuiita shilingi mia tano "Jero" kwa kufupisha neno...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Hivi tukisema MTUKUFU tunamaanisha nini?
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Jamani mimi huwaga sielewi, ni kwanini madereva wana common name, yani Suka, utaskia suka simama, huyo ndo suka, na nimeanza kuisikia kitambo sana takribani miaka kumi, sasa wanajamvini embu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Watanzania tupo katika harakati za kuboresha na kukuza lugha yetu. Sasa hivi tunashughulika kuongeza msamiati katika kundi la maneno ya uchochezi. Mifano ya maneno ya kichochezi ni pamoja na hii...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari za mchana wanaJF Kama una idea ya lugha ya kifaransa tupia msamiati na tafsiri kwa kiswahili ili tujifunze, Naanza Mimi Fr; Mon pay magnifiquè s' appelle Tanzaniè Kisw;Nchi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF Naomba niwakumbushe kwamba kuanzia wiki ijayo, tutaanza Darasa la KIFARANSA – Pre-form one. Tumejipanga kumfundisha kijana kwa myezi hii mitatu, aweze kuzungumza kana kwamba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waswahili wenzangu nimekuwa nikitatizwa sana na matumizi ya maneno yafuatayo, labda mimi kiswahili kimenipiga chemga, ama watumiaji wanatumia maneno hayo ndivyo sivyo. 1. Kwa niaba yangu mwenyewe...
1 Reactions
0 Replies
794 Views
wataalamu wa lugha natumai hamjambo. Naombeni ufafanuzi katika hili kwanini sehemu zinapouzwa ndizi karibu Tanzania nzima zinaitwa Mahakama ya ndizi....mfano mahakama ya ndizi Morogoro mahakama...
0 Reactions
1 Replies
981 Views
Nimeona familia nyingi za kitanzania, wazazi wakiwasisitizia watoto kuitika katika moja ya miitikio hapo juu. Utakuta mtoto wa kiume akisisitizwa kuitika " naamu" anapoitwa, na mtoto wa kike...
2 Reactions
86 Replies
17K Views
Hii ni zawadi ya pekee kwa mwanao ; mtaalam wetu wa lugha ya Kifaransa kwa watoto ameanzisha « special children’s workshops” anafundisha watoto KIFARANSA kwa kutumia michezo mbalimbali siku ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimekuwa Nikijitaabisha sana Kifikira, Kutaka Kujua, Kwanini Tanzania, Utakuta Makabila Mawili au zaidi Wana lugha karibu Moja Mfano Wasukuma na Wanyamwezi Lakini Wakati huo huo, Kabila Moja...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Siku hizi mtu hawezi kukamilisha mazungumzo yake bila kutumia neno 'kuweza' Neno hili limekuwa maarufu sana kiasi kwamba wengi wanalitumia vibaya. Nimeshasikia wengi wakisema hivi: Mkopo...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Mfawidhi ndio mkuu? mganga mkuu na mganga mfawidhi ndio kitu hiko hiko? au ni tofauti?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
TUSI HALIUI. 1)katu halinyongi tusi,tukanwa utukanike. Kama huna ukakasi,basi acha wasikike. Tena wape mafulusi,kwa dharau uwacheke. Wala haliui tusi,kwa mtu mwenye hekima. 2)kwako ni kama...
0 Reactions
0 Replies
820 Views
Ndugu wana JF bunge la Afrika Mashariki limeridhia matumizi ya lugha ya kiswahili katika Nchi wanachama changamoto ndogo ambayo lazima ifanyiwe kazi ni nchi wanachama kuongea matamshi tofauti ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi Ukitaka kumuuliza mtu "wewe ni mtoto wa ngapi kwenu? au wewe ni wa ngapi kuzaliwa kwenu?" kwa kiingereza utasemaje?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom