"Mungu hakosei " nashindwa kuuelewa huu msemo

"Mungu hakosei " nashindwa kuuelewa huu msemo

Kwani Ni Mungu Kakosea.. Ukiangalia Wale Wanaojaribu Kutoaga Mimba zikagoma zile Dawa Huwa Zinaweka Effect zake Kwamba If Mimba Ikishondwa Kutoka Mtoto anaweza Akatoka Hana Mkono au Any Genetic Disorder... Wamama Wangapi wanakunywa Madawa Hayo

Binadamu Mkishindwa Kucontrol Mazingira yenu Mnasingizia Mungu.. Je Na Bomu la Hiroshima Ambapo mpka Sasa Watoto wanazaliwa Vilema..

Na Ushajiuliza Kwanini Haya Matatizo hayakuwepo Kipindi cha Nyuma
 
Kwani Ni Mungu Kakosea.. Ukiangalia Wale Wanaojaribu Kutoaga Mimba zikagoma zile Dawa Huwa Zinaweka Effect zake Kwamba If Mimba Ikishondwa Kutoka Mtoto anaweza Akatoka Hana Mkono au Any Genetic Disorder...

Binadamu Mkishindwa Kucontrol Mazingira yenu Mnasingizia Mungu.. Je Na Bomu la Hiroshima Ambapo mpka Sasa Watoto wanazaliwa Vilema
Nimependa wazo lako,ila yeye kama Mungu si huwa hashindwi na kitu, inamaana kama binadamu wamechafua hali ya hewa mpaka kupelekea Genes ku badilika ili bidi azirudishe katika mpangilio unaotakiwa , wewe vuta picha ungezaliwa alafu ukajikuta upo katika hali hiyo ungejiskiaje?? Alafu upewe simple reason tu kuwa upo hivyo kwa sababu ya environmental changes itakuingia akilini kweli
 
Je! Akifanya Hivyo vipi kwa Wale wanaotaka Kufanya Genetic Engineering ya Mazao....kuku kwa kuwapa Madawa na kuwachoma sindano ili wazaliane sana ...si mtasema Mungu anatuingilia Uhuru wetu wa Kuchagua Mlioutafuta Kwenye Bustani ya Edeni Wenyewe...

Lets Pay the Price.. tuliyataka wenyewe then Tunamsingizia Mungu Baba
 
amina
 
  • Thanks
Reactions: J C
Mungu ameacha mambo kama hayo yatokee ili tuuone na kuushuhudia ukuu wake...
 
Why aumbe kibaya mkuu...anakuwa amechoka...mmmmh..???!!!!!
Anajihirisha ukuu wake na ujue yeye ndie na ndio maana wengine wakiombewa hurudi katika hali ya kawaida au kufanyiwa operation mpaka kuifanikisha kuna mkono wake hapo mkuu
 
Huyu 'mtu' anayeitwa Mungu anabebeshwa mizigo mingi sawa na shetani au pengine hata kumzidi
 
Mungu ameacha mambo kama hayo yatokee ili tuuone na kuushuhudia ukuu wake...
Usisema hivyo kwa kuwa wewe umekamilika, vuta picha nawewe ungezaliwa kama mmoja wa hizo picha hapo juu ungejiskiaje??
 
Huu

huu ni ujinga...how come watu wateseke ili tu adhihirishe ukuu wake.
Ni sawa na baba ana hela...anawalaza njaa/watesa watt ili tu adhihirishe ukuu wake....bure kabisa.
Yah inauma sana
 
Back
Top Bottom